naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 30

Tumia kiunganishi kifaacho kujaza pengo. Aliadhibiwa___alipoteza sweta.

From Test 21 — Grade 6 Revision Paper 1, 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viunganishi

Tumia kiunganishi kifaacho kujaza pengo.
Aliadhibiwa______alipoteza sweta.

  1. Akwa sababu
  2. Bkwani
  3. Cili
  4. Dna

Answer

A. kwa sababu

"Kwa sababu" ndicho kiunganishi kinachoonyesha sababu ya kuadhibiwa -- alipoteza sweta.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test