CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24
Kamilisha methali: Mtoto wa nyoka ___.
From Test 21 — Grade 6 Revision Paper 1, 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
Kamilisha methali: Mtoto wa nyoka ____.
- Ani hatari
- Bhuuma
- Cni nyoka
- Dhujificha
Answer
C. ni nyoka
Methali kamili ni "Mtoto wa nyoka ni nyoka", ikimaanisha mtoto hufanana na tabia za wazazi wake.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu mwafaka kujaza pengo Tunda ___ lilinunuliwa lilikuwa limeiva.Question 25
- Tambua kifaa ambacho hakipatikani sebuleni.Question 26
- Ni kiungo kipi cha mwili husafisha hewa?Question 27
- Ni kifaa kipi ambacho hutusaidia kuwasiliana?Question 28
- Ni ndege yupi hufugwa nyumbani?Question 29
- Tumia kiunganishi kifaacho kujaza pengo. Aliadhibiwa___alipoteza sweta.Question 30