CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22
Chagua kitenzi katika sentensi hii. Darasa lilioshwa na wanafunzi wote.
From Test 21 — Grade 6 Revision Paper 1, 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Chagua kitenzi katika sentensi hii.
Darasa lilioshwa na wanafunzi wote.
- Alilioshwa
- Bdarasa
- Cwanafunzi
- Dwote
Answer
A. lilioshwa
"Lilioshwa" ndicho kitenzi katika sentensi hii, kikionyesha tendo lililofanyika kwa "darasa".
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Kiroboto, kiboko na kifaru ni katika ngeli gani?Question 23
- Kamilisha methali: Mtoto wa nyoka ___.Question 24
- Chagua jibu mwafaka kujaza pengo Tunda ___ lilinunuliwa lilikuwa limeiva.Question 25
- Tambua kifaa ambacho hakipatikani sebuleni.Question 26
- Ni kiungo kipi cha mwili husafisha hewa?Question 27
- Ni kifaa kipi ambacho hutusaidia kuwasiliana?Question 28