CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21
Chagua sentensi sahihi.
From Test 21 — Grade 6 Revision Paper 1, 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Upatanisho wa Kisarufi
Chagua sentensi sahihi.
- AMikono zangu zinauma.
- BMbwa wale zinabweka.
- CSimu yale ni bei ghali.
- DPikipiki ile ni kubwa.
Answer
D. Pikipiki ile ni kubwa.
"Pikipiki ile ni kubwa" ndiyo sentensi yenye upatanisho sahihi wa kisarufi; sentensi nyingine zina makosa ya upatanisho wa ngeli kati ya nomino, kiwakilishi na kivumishi/kitenzi.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Chagua kitenzi katika sentensi hii. Darasa lilioshwa na wanafunzi wote.Question 22
- Kiroboto, kiboko na kifaru ni katika ngeli gani?Question 23
- Kamilisha methali: Mtoto wa nyoka ___.Question 24
- Chagua jibu mwafaka kujaza pengo Tunda ___ lilinunuliwa lilikuwa limeiva.Question 25
- Tambua kifaa ambacho hakipatikani sebuleni.Question 26
- Ni kiungo kipi cha mwili husafisha hewa?Question 27