CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026: Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili)
Test 12 — Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili) · Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili) · 31 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 31 questions with answers
- Question 1: Nyumbura alienda hospitalini wakati gani wa siku?Answer: A. Baada ya adhuhuri
- Question 2: Mapafu hufanya kazi gani katika mwili wa binadamu kulingana na mazungumzo haya?Answer: B. Husafisha hewa
- Question 3: Mtu akikuambia pole unafaa kumjibu kwa kusema vipi?Answer: D. Nimeshapoa
- Question 4: Mtu akitaka kupima kiwango cha joto katika mwili anatumia kifaa gani?Answer: B. Kipimajoto
- Question 5: Unadhani mazungumzo haya yanaendelea katika sehemu gani?Answer: B. Hospitalini
- Question 6: Kulingana na ufahamu ni kweli kusema kuwa.Answer: C. Mtu asiyekuwa na mali na pesa hupata huduma za kimsingi kwa shida
- Question 7: Watu wanaotumia pesa zao vizuri katika biashara huenda wakapata nini?Answer: A. Faida
- Question 8: Kifungu kinasema kuwa masomo yanaweza kumpatia mtu nini?Answer: D. Ujuzi wa kuweza kujitoa katika umaskini
- Question 9: Mtu akiishiwa na pesa zake ama awe na dharura anaweza kupata msaada kutoka kwa?Answer: B. Akiba
- Question 10: Ni ipi miongoni mwa hizi si shughuli ya kiuchumi ambayo inaweza kumfaa mtu?Answer: D. Kutamani pesa
- Question 11: Shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti kama hili huitwa?Answer: C. Tarbia
- Question 12: Mshairi anazungumzia jambo gani katika shairi hili?Answer: B. Umuhimu wa kutunza mazingira
- Question 13: Kibwagizo cha shairi hili kinasema kuwaAnswer: A. mazingira tuyalinde, yasichafuke daima
- Question 14: Shairi hili lote lina mishororo mingapi?Answer: B. kumi na miwili
- Question 15: Ni sehemu gani ya mazingira ambayo haijatajwa na mshairi?Answer: C. madini
- Question 16: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (16).Answer: A. alizaliwa
- Question 17: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (17).Answer: B. kenda
- Question 18: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (18).Answer: D. na
- Question 19: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (19).Answer: B. akawa
- Question 20: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (20).Answer: C. mazingira
- Question 21: Ukubwa wa kisu ni jisu, kama vile ukubwa wa kioo niAnswer: B. joo
- Question 22: Kanusha sentensi ifuatayo. Ukifika utapata zawadi yako.Answer: D. usipofika hautapata zawadi yako
- Question 23: Tambua kinyume cha neno lililopigiwa mstari. Makuli wanapakia mizigo kwenye meli.Answer: B. wanapakua
- Question 24: Ni nomino gani ambayo haipatikani katika ngeli ya YA-YA miongoni mwa hizi?Answer: D. mabao
- Question 25: Ni sentensi ipi ambayo imeakifishwa kwa usahihi?Answer: D. Nimenunua; viazi, mihogo, tomato na vitunguu.
- Question 26: Ni sentensi gani yenye kivumishi kiashiria kati ya hizi?Answer: B. Afisa huyo alitufundisha kuyatunza mazingira.
- Question 27: Ni sentensi ipi iliyoandikwa katika nafsi ya pili umoja?Answer: A. Wewe utaimba wimbo wa taifa tamashani.
- Question 28: Msimu wa baridi kali bila mvua huitwa?Answer: D. kipupwe
- Question 29: Tegua kitendawili kifuatacho: Mwanangu akipigwa watu hucheza.Answer: B. ngoma
- Question 30: Lipi ni jibu sahihi la maagano buriani?Answer: B. dawa
- Question 31: Andika insha ya kusisimua kuhusu: HARUSI YA SHANGAZIAnswer: HARUSI YA SHANGAZI Jumamosi iliyopita, familia yetu ilifurahia tukio kubwa: harusi ya Shangazi Amina. Tangu…