CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 28
Msimu wa baridi kali bila mvua huitwa?
From Test 12 — Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Msimu wa baridi kali bila mvua huitwa?
- Akiangazi
- Bmasika
- Cvuli
- Dkipupwe
Answer
D. kipupwe
Kipupwe ni msimu wa baridi kali usio na mvua; kiangazi ni msimu wa joto na ukame, masika ni msimu wa mvua nyingi za muda mrefu, na vuli ni msimu wa mvua fupi.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Tegua kitendawili kifuatacho: Mwanangu akipigwa watu hucheza.Question 29
- Lipi ni jibu sahihi la maagano buriani?Question 30
- Andika insha ya kusisimua kuhusu: HARUSI YA SHANGAZIQuestion 31
- Nyumbura alienda hospitalini wakati gani wa siku?Question 1
- Mapafu hufanya kazi gani katika mwili wa binadamu kulingana na mazungumzo haya?Question 2
- Mtu akikuambia pole unafaa kumjibu kwa kusema vipi?Question 3