CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 1
Nyumbura alienda hospitalini wakati gani wa siku?
From Test 12 — Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo
Daktari: Habari za alasiri binti? Karibu sana kwenye hospitali ya Tiba bora.
Nyumbura: Sijambo daktari. Nimekutembelea kwa sababu sihisi vyema kabisa kwenye mapafu yangu.
Daktari: Maskini! Pole sana kwa jinsi unavyosikia. Unahisi vipi? Umeanza kuhisi hivyo tangu lini?
Nyumbura: Nimekuwa na maumivu makali ya mapafu, ninapopumua usiku napata shida sana. Muda mwingine nahisi baridi na uchungu hasa ninapokohoa.
Daktari: Pole sana binti. Nitakuchunguza kisha niweze kutambua hasa chanzo cha hali yako. Usiku huwa unahisi joto?
Nyumbura: Naam, huwa ninapata joto jingi usiku. Isitoshe, kuna muda nahisi uchovu mwingi mwilini.
Daktari: Haya hebu nikupime joto kisha niangalie mapigo ya moyo. Inaonekana kifua chako ili tujue hali halisi.
Nyumbura: Naweza kuwa na kifua kikuu?
Daktari: Sina hakika, tusubiri kwanza tufanye vipimo kisha tutajua ukweli. Vipimo hivi vitatufahamisha ni nini hasa kinachokuuma kisha tutaweza kukutibu.
Nyumbura: Shukran sana daktari. Nimeshukuru na wema wako.

- ABaada ya adhuhuri
- BKabla ya alfajiri
- CMuda wa asubuhi
- DMwendo wa machweo
Answer
A. Baada ya adhuhuri
Daktari anamsalimu Nyumbura kwa kusema "Habari za alasiri" -- salamu hii hutumika wakati wa alasiri, yaani baada ya adhuhuri, hivyo ndivyo tunavyojua alifika hospitalini wakati huo.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Mapafu hufanya kazi gani katika mwili wa binadamu kulingana na mazungumzo haya?Question 2
- Mtu akikuambia pole unafaa kumjibu kwa kusema vipi?Question 3
- Mtu akitaka kupima kiwango cha joto katika mwili anatumia kifaa gani?Question 4
- Unadhani mazungumzo haya yanaendelea katika sehemu gani?Question 5
- Kulingana na ufahamu ni kweli kusema kuwa.Question 6
- Watu wanaotumia pesa zao vizuri katika biashara huenda wakapata nini?Question 7