CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 4
Mtu akitaka kupima kiwango cha joto katika mwili anatumia kifaa gani?
From Test 12 — Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Msamiati
Mtu akitaka kupima kiwango cha joto katika mwili anatumia kifaa gani?
- AStethoskopu
- BKipimajoto
- CSirinji
- DKitata
Answer
B. Kipimajoto
Kifaa kinachotumiwa kupima kiwango cha joto mwilini ni kipimajoto (thermometer); stethoskopu hutumika kusikiliza mapigo ya moyo, sirinji kudunga sindano, na kitata si kifaa cha kimatibabu.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Unadhani mazungumzo haya yanaendelea katika sehemu gani?Question 5
- Kulingana na ufahamu ni kweli kusema kuwa.Question 6
- Watu wanaotumia pesa zao vizuri katika biashara huenda wakapata nini?Question 7
- Kifungu kinasema kuwa masomo yanaweza kumpatia mtu nini?Question 8
- Mtu akiishiwa na pesa zake ama awe na dharura anaweza kupata msaada kutoka kwa?Question 9
- Ni ipi miongoni mwa hizi si shughuli ya kiuchumi ambayo inaweza kumfaa mtu?Question 10