CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5
Unadhani mazungumzo haya yanaendelea katika sehemu gani?
From Test 12 — Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo
Daktari: Habari za alasiri binti? Karibu sana kwenye hospitali ya Tiba bora.
Nyumbura: Sijambo daktari. Nimekutembelea kwa sababu sihisi vyema kabisa kwenye mapafu yangu.
Daktari: Maskini! Pole sana kwa jinsi unavyosikia. Unahisi vipi? Umeanza kuhisi hivyo tangu lini?
Nyumbura: Nimekuwa na maumivu makali ya mapafu, ninapopumua usiku napata shida sana. Muda mwingine nahisi baridi na uchungu hasa ninapokohoa.
Daktari: Pole sana binti. Nitakuchunguza kisha niweze kutambua hasa chanzo cha hali yako. Usiku huwa unahisi joto?
Nyumbura: Naam, huwa ninapata joto jingi usiku. Isitoshe, kuna muda nahisi uchovu mwingi mwilini.
Daktari: Haya hebu nikupime joto kisha niangalie mapigo ya moyo. Inaonekana kifua chako ili tujue hali halisi.
Nyumbura: Naweza kuwa na kifua kikuu?
Daktari: Sina hakika, tusubiri kwanza tufanye vipimo kisha tutajua ukweli. Vipimo hivi vitatufahamisha ni nini hasa kinachokuuma kisha tutaweza kukutibu.
Nyumbura: Shukran sana daktari. Nimeshukuru na wema wako.

- AShuleni
- BHospitalini
- CDukani
- DSokoni
Answer
B. Hospitalini
Daktari anamkaribisha Nyumbura "kwenye hospitali ya Tiba bora" na kuzungumzia dalili, vipimo na matibabu -- vyote hivi ni ishara kuwa mazungumzo yanaendelea hospitalini.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na ufahamu ni kweli kusema kuwa.Question 6
- Watu wanaotumia pesa zao vizuri katika biashara huenda wakapata nini?Question 7
- Kifungu kinasema kuwa masomo yanaweza kumpatia mtu nini?Question 8
- Mtu akiishiwa na pesa zake ama awe na dharura anaweza kupata msaada kutoka kwa?Question 9
- Ni ipi miongoni mwa hizi si shughuli ya kiuchumi ambayo inaweza kumfaa mtu?Question 10
- Shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti kama hili huitwa?Question 11