naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27

Ni sentensi ipi iliyoandikwa katika nafsi ya pili umoja?

From Test 12 — Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi Nafsi

Ni sentensi ipi iliyoandikwa katika nafsi ya pili umoja?

  1. AWewe utaimba wimbo wa taifa tamashani.
  2. BSisi tumealikwa kwenda kupanda miti.
  3. CYeye amehudhuria mkutano wa haki za Watoto.
  4. DWao wanatumia vifaa vya kidijitali.

Answer

A. Wewe utaimba wimbo wa taifa tamashani.

"Wewe" ni kiwakilishi nafsi cha nafsi ya pili umoja; "Sisi" ni nafsi ya kwanza wingi, "Yeye" ni nafsi ya tatu umoja, na "Wao" ni nafsi ya tatu wingi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test