CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 17
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (17).
From Test 12 — Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Kifungu cha ujazaji wa nafasi: Fatuma Bahati (maswali 16-20)
Fatuma Bahati __16__ mwaka wa elfu moja mia tisa tisini na __17__ katika Kijiji cha Majimarefu. Alijiunga __18__ shule ya msingi ya Bidii. Baada ya shule ya msingi, alijiunga na shule ya upili ya Ufanisi. Aliendelea na masomo yake hadi __19__ daktari. Alipohitimu, alirudi kijijini kwao na kuwasaidia wanajamii. Alianza kampeni ya kuwaelimisha wanakijiji kuhusu umuhimu wa usafi wa mwili na __20__.
Fatuma Bahati __16__ mwaka wa elfu moja mia tisa tisini na __17__ katika Kijiji cha Majimarefu. Alijiunga __18__ shule ya msingi ya Bidii. Baada ya shule ya msingi, alijiunga na shule ya upili ya Ufanisi. Aliendelea na masomo yake hadi __19__ daktari. Alipohitimu, alirudi kijijini kwao na kuwasaidia wanajamii. Alianza kampeni ya kuwaelimisha wanakijiji kuhusu umuhimu wa usafi wa mwili na __20__.
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (17).
- Atisini
- Bkenda
- Ckorija
- Dsabini
Answer
B. kenda
Katika kuhesabu kwa Kiswahili sanifu, tarakimu ya 9 inayofuata "tisini na" huitwa "kenda" (mfano 1999 ni "elfu moja, mia tisa, tisini na kenda"), si "tisini" (ambayo tayari imetumika) wala maneno mengine yasiyo namba.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (18).Question 18
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (19).Question 19
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (20).Question 20
- Ukubwa wa kisu ni jisu, kama vile ukubwa wa kioo niQuestion 21
- Kanusha sentensi ifuatayo. Ukifika utapata zawadi yako.Question 22
- Tambua kinyume cha neno lililopigiwa mstari. Makuli wanapakia mizigo kwenye meli.Question 23