CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 20
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (20).
From Test 12 — Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Kifungu cha ujazaji wa nafasi: Fatuma Bahati (maswali 16-20)
Fatuma Bahati __16__ mwaka wa elfu moja mia tisa tisini na __17__ katika Kijiji cha Majimarefu. Alijiunga __18__ shule ya msingi ya Bidii. Baada ya shule ya msingi, alijiunga na shule ya upili ya Ufanisi. Aliendelea na masomo yake hadi __19__ daktari. Alipohitimu, alirudi kijijini kwao na kuwasaidia wanajamii. Alianza kampeni ya kuwaelimisha wanakijiji kuhusu umuhimu wa usafi wa mwili na __20__.
Fatuma Bahati __16__ mwaka wa elfu moja mia tisa tisini na __17__ katika Kijiji cha Majimarefu. Alijiunga __18__ shule ya msingi ya Bidii. Baada ya shule ya msingi, alijiunga na shule ya upili ya Ufanisi. Aliendelea na masomo yake hadi __19__ daktari. Alipohitimu, alirudi kijijini kwao na kuwasaidia wanajamii. Alianza kampeni ya kuwaelimisha wanakijiji kuhusu umuhimu wa usafi wa mwili na __20__.
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (20).
- Amazingara
- Bmasingara
- Cmazingira
- Dmasihara
Answer
C. mazingira
Neno sahihi kwa tahajia ni "mazingira" (environment) -- Fatuma anawaelimisha wanakijiji kuhusu usafi wa mwili na mazingira; "mazingara", "masingara" na "masihara" ni maneno yasiyo sahihi/yasiyo na maana inayofaa hapa.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Ukubwa wa kisu ni jisu, kama vile ukubwa wa kioo niQuestion 21
- Kanusha sentensi ifuatayo. Ukifika utapata zawadi yako.Question 22
- Tambua kinyume cha neno lililopigiwa mstari. Makuli wanapakia mizigo kwenye meli.Question 23
- Ni nomino gani ambayo haipatikani katika ngeli ya YA-YA miongoni mwa hizi?Question 24
- Ni sentensi ipi ambayo imeakifishwa kwa usahihi?Question 25
- Ni sentensi gani yenye kivumishi kiashiria kati ya hizi?Question 26