CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 15
Ni sehemu gani ya mazingira ambayo haijatajwa na mshairi?
From Test 12 — Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi
Shairi: Mazingira Tuyalinde (maswali 11-15)
Leo nawaelezeni, msikilize vizuri,
Nisemayo yashikeni, nataka niyakariri,
Wa bara na hata mijini, nawaeleza dhahiri,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Mito yetu kuchafua, si jambo lenye faida,
Mito ni maji tambua, kesho tusilete shida,
Maziwa yetu na mvua, tulinde kaka na dada,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Mwisho ninamalizia, hewa nayo tuitunze,
Misitu na miti pia, kuitunza tujifunze,
Udongo unapopitia, usiende tuukinze,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Leo nawaelezeni, msikilize vizuri,
Nisemayo yashikeni, nataka niyakariri,
Wa bara na hata mijini, nawaeleza dhahiri,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Mito yetu kuchafua, si jambo lenye faida,
Mito ni maji tambua, kesho tusilete shida,
Maziwa yetu na mvua, tulinde kaka na dada,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Mwisho ninamalizia, hewa nayo tuitunze,
Misitu na miti pia, kuitunza tujifunze,
Udongo unapopitia, usiende tuukinze,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Ni sehemu gani ya mazingira ambayo haijatajwa na mshairi?
- Amaji
- Bhewa
- Cmadini
- Dmisitu
Answer
C. madini
Mshairi anataja mito/maji, hewa, misitu/miti na udongo kama sehemu za mazingira zinazohitaji kutunzwa -- madini hayatajwi mahali popote katika shairi hili.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (16).Question 16
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (17).Question 17
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (18).Question 18
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (19).Question 19
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (20).Question 20
- Ukubwa wa kisu ni jisu, kama vile ukubwa wa kioo niQuestion 21