CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 13
Kibwagizo cha shairi hili kinasema kuwa
From Test 12 — Grade 6 Revision 2, 2026 (Shughuli za Kiswahili) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi
Shairi: Mazingira Tuyalinde (maswali 11-15)
Leo nawaelezeni, msikilize vizuri,
Nisemayo yashikeni, nataka niyakariri,
Wa bara na hata mijini, nawaeleza dhahiri,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Mito yetu kuchafua, si jambo lenye faida,
Mito ni maji tambua, kesho tusilete shida,
Maziwa yetu na mvua, tulinde kaka na dada,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Mwisho ninamalizia, hewa nayo tuitunze,
Misitu na miti pia, kuitunza tujifunze,
Udongo unapopitia, usiende tuukinze,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Leo nawaelezeni, msikilize vizuri,
Nisemayo yashikeni, nataka niyakariri,
Wa bara na hata mijini, nawaeleza dhahiri,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Mito yetu kuchafua, si jambo lenye faida,
Mito ni maji tambua, kesho tusilete shida,
Maziwa yetu na mvua, tulinde kaka na dada,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Mwisho ninamalizia, hewa nayo tuitunze,
Misitu na miti pia, kuitunza tujifunze,
Udongo unapopitia, usiende tuukinze,
Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima.
Kibwagizo cha shairi hili kinasema kuwa
- Amazingira tuyalinde, yasichafuke daima
- Bmwisho ninamalizia, hewa nayo tuitunze
- Cleo nawaelezeni, msikilize vizuri
- Dmito yetu kichafua, si jambo lenye faida
Answer
A. mazingira tuyalinde, yasichafuke daima
Kibwagizo ni mshororo unaorudiwa mwishoni mwa kila ubeti; mshororo "Mazingira tuyalinde, yasichafuke daima" unajirudia mwishoni mwa beti zote tatu, hivyo ndicho kibwagizo cha shairi hili.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Shairi hili lote lina mishororo mingapi?Question 14
- Ni sehemu gani ya mazingira ambayo haijatajwa na mshairi?Question 15
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (16).Question 16
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (17).Question 17
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (18).Question 18
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (19).Question 19