CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025: End Term 1 Assessment 2025 (Set 4)
Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi, Msamiati.
All 30 questions with answers
- Question 1: Je, kisa hiki kinahusu sherehe ya nani?Answer: Sherehe ya kuzaliwa ya baba ya mwandishi.
- Question 2: Sherehe yenyewe ilikuwa siku gani ya juma?Answer: Siku ya tatu ya juma.
- Question 3: Mwandishi alitumia maneno, "hakuwa amekula chumvi nyingi." Je, hii inamaanisha nini?Answer: Hakuwa mzee sana.
- Question 4: Wageni walikuwa wameketi kitako. Andika kielezi katika sentensi hii.Answer: kitako
- Question 5: Je, sherehe hii ilihudhuriwa na wageni wangapi waalikwa?Answer: Watano
- Question 6: Taja jina la babuye mwandishi.Answer: Meishisana
- Question 7: Kifungu ulichokisoma kinahusu nini?Answer: Sherehe ya siku ya kuzaliwa ya baba.
- Question 8: Malizia sentensi hii. Mwaka huu ulipoanza sote tulifurahi ___Answer: kurudi katika shule yetu.
- Question 9: Mwandishi husomea katika skuli gani?Answer: Mematele
- Question 10: Shule ya mwandishi ina wanafunzi wangapi?Answer: Elfu moja na mia mbili.
- Question 11: Mabasi ya shule katika nchi hii ya msimulizi yamepakwa rangi gani?Answer: Manjano
- Question 12: Salamu hamjambo hujibiwa hatujambo. Je, masalkheri hujibiwa aje?Answer: Aheri
- Question 13: Ni nani aliwashauri wanagenzi kunywa maji mengi?Answer: Mwalimu (Matunda)
- Question 14: Kwa nini wanafunzi walishauriwa kunywa maji mengi?Answer: Ili wawe na afya njema.
- Question 15: Teua salamu ambayo haijaambatanishwa ipasavyo.Answer: C. Alamsiki .... aleikum salaam
- Question 16: Je, kati ya maneno haya katika kamusi, ni neno gani litakuwa la pili?Answer: D. Mtihani
- Question 17: Mstatili huu una maneno matano ya nomino za vitenzi-jina. Je, ni neno lipi halifai kuwa hapa?Answer: C. Kalia
- Question 18: Andika kwa wingi. Mtoto aliacha dawati lake shuleni.Answer: Watoto waliacha madawati yao shuleni.
- Question 19: Andika kwa wingi. Mwalimu wangu huja mapema shuleni.Answer: Walimu wetu huja mapema shuleni.
- Question 20: Chagua neno lifaalo kujaza nafasi. Matata ___ nyanya samaki.Answer: B. alimbebea
- Question 21: Chagua neno lifaalo kujaza nafasi. Tulienda sokoni ___ tununue matunda.Answer: A. ili
- Question 22: Kamilisha methali hii. Asiyekujua ___Answer: B. hakuthamini
- Question 23: Ni sentensi gani haijakanushwa vyema?Answer: B. Mama yangu amechelewa — Mama yangu hachelewi
- Question 24: Nomino "jua, lepe, jasho, joto na giza" hupatikana katika ngeli ya ___Answer: LI-YA
- Question 25: Andika sentensi hii katika hali ya ukubwa. Mtoto wake anasoma.Answer: Jitoto lake linasoma.
- Question 26: Je, sentensi hii iko katika wakati gani? Mlinzi mwenyewe analilinda rinda la mama.Answer: Wakati uliopo
- Question 27: ___ ya arusi ilikuwa ya kupendeza sana.Answer: A. Karamu
- Question 28: Siku hiyo ___ arusi alivaa gauni jeupe pe pe pe.Answer: C. bibi
- Question 29: Jaza mianya iliyoachwa kwa maneno yafaayo kutoka kwenye mabano (shule, mwiko, vitunguu, sabuni). Mama alipokuwa akisonga ugali alitumia ___Answer: B. mwiko
- Question 30: Jaza mianya iliyoachwa kwa maneno yafaayo kutoka kwenye mabano (shule, mwiko, vitunguu, sabuni). Idadi ya wanafunzi katika ___ yetu ni…Answer: A. shule