CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 15
Teua salamu ambayo haijaambatanishwa ipasavyo.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi, Salamu
15. Teua salamu ambayo haijaambatanishwa ipasavyo.
- AHabari ya jioni .... njema
- BKwa heri ..... ya kuonana
- CAlamsiki .... aleikum salaam
- DMakiwa .... unayo
Answer
C. Alamsiki .... aleikum salaam
Alamsiki hujibiwa "binuru". "Aleikum salaam" ni jibu la "salaam aleikum".
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Je, kati ya maneno haya katika kamusi, ni neno gani litakuwa la pili?Question 16
- Mstatili huu una maneno matano ya nomino za vitenzi-jina. Je, ni neno lipi halifai kuwa hapa?Question 17
- Andika kwa wingi. Mtoto aliacha dawati lake shuleni.Question 18
- Andika kwa wingi. Mwalimu wangu huja mapema shuleni.Question 19
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi. Matata ___ nyanya samaki.Question 20
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi. Tulienda sokoni ___ tununue matunda.Question 21