naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 17

Mstatili huu una maneno matano ya nomino za vitenzi-jina. Je, ni neno lipi halifai kuwa hapa?

From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi-jina

17. Mstatili huu una maneno matano ya nomino za vitenzi-jina. Je, ni neno lipi halifai kuwa hapa?

  1. AKulala
  2. BKukimbia
  3. CKalia
  4. DKusoma
  5. EKutibiwa

Answer

C. Kalia

Vitenzi-jina huanza na ku- (kulala, kukimbia, kusoma, kutibiwa). "Kalia" haina ku-.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test