CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 23
Ni sentensi gani haijakanushwa vyema?
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji
23. Ni sentensi gani haijakanushwa vyema?
- ATunaenda sokoni — Hatuendi sokoni
- BMama yangu amechelewa — Mama yangu hachelewi
- CWalionana mwaka jana — Hawakuonana mwaka jana.
- DJuma ni mwanafunzi hodari — Juma si mwanafunzi hodari
Answer
B. Mama yangu amechelewa — Mama yangu hachelewi
"Amechelewa" hukanushwa "hajachelewa", si "hachelewi".
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Nomino "jua, lepe, jasho, joto na giza" hupatikana katika ngeli ya ___Question 24
- Andika sentensi hii katika hali ya ukubwa. Mtoto wake anasoma.Question 25
- Je, sentensi hii iko katika wakati gani? Mlinzi mwenyewe analilinda rinda la mama.Question 26
- ___ ya arusi ilikuwa ya kupendeza sana.Question 27
- Siku hiyo ___ arusi alivaa gauni jeupe pe pe pe.Question 28
- Jaza mianya iliyoachwa kwa maneno yafaayo kutoka kwenye mabano (shule, mwiko, vitunguu, sabuni). Mama alipokuwa…Question 29