CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 26
Je, sentensi hii iko katika wakati gani? Mlinzi mwenyewe analilinda rinda la mama.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi, Nyakati
26. Je, sentensi hii iko katika wakati gani?
Mlinzi mwenyewe analilinda rinda la mama.
Answer
Wakati uliopo
"-na-" katika analilinda huonyesha wakati uliopo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- ___ ya arusi ilikuwa ya kupendeza sana.Question 27
- Siku hiyo ___ arusi alivaa gauni jeupe pe pe pe.Question 28
- Jaza mianya iliyoachwa kwa maneno yafaayo kutoka kwenye mabano (shule, mwiko, vitunguu, sabuni). Mama alipokuwa…Question 29
- Jaza mianya iliyoachwa kwa maneno yafaayo kutoka kwenye mabano (shule, mwiko, vitunguu, sabuni). Idadi ya wanafunzi…Question 30
- Je, kisa hiki kinahusu sherehe ya nani?Question 1
- Sherehe yenyewe ilikuwa siku gani ya juma?Question 2