CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 30
Jaza mianya iliyoachwa kwa maneno yafaayo kutoka kwenye mabano (shule, mwiko, vitunguu, sabuni). Idadi ya wanafunzi katika ___ yetu ni elfu mbili.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Msamiati
30. Jaza mianya iliyoachwa kwa maneno yafaayo kutoka kwenye mabano (shule, mwiko, vitunguu, sabuni).
Idadi ya wanafunzi katika ______ yetu ni elfu mbili.
- Ashule
- Bmwiko
- Cvitunguu
- Dsabuni
Answer
A. shule
Wanafunzi husomea shuleni: shule yetu.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Je, kisa hiki kinahusu sherehe ya nani?Question 1
- Sherehe yenyewe ilikuwa siku gani ya juma?Question 2
- Mwandishi alitumia maneno, "hakuwa amekula chumvi nyingi." Je, hii inamaanisha nini?Question 3
- Wageni walikuwa wameketi kitako. Andika kielezi katika sentensi hii.Question 4
- Je, sherehe hii ilihudhuriwa na wageni wangapi waalikwa?Question 5
- Taja jina la babuye mwandishi.Question 6