CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 28
Siku hiyo ___ arusi alivaa gauni jeupe pe pe pe.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Msamiati
28. Siku hiyo ______ arusi alivaa gauni jeupe pe pe pe.
- Apipi
- Bvivi
- Cbibi
Answer
C. bibi
Bibi arusi ni mwanamke anayeolewa.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Jaza mianya iliyoachwa kwa maneno yafaayo kutoka kwenye mabano (shule, mwiko, vitunguu, sabuni). Mama alipokuwa…Question 29
- Jaza mianya iliyoachwa kwa maneno yafaayo kutoka kwenye mabano (shule, mwiko, vitunguu, sabuni). Idadi ya wanafunzi…Question 30
- Je, kisa hiki kinahusu sherehe ya nani?Question 1
- Sherehe yenyewe ilikuwa siku gani ya juma?Question 2
- Mwandishi alitumia maneno, "hakuwa amekula chumvi nyingi." Je, hii inamaanisha nini?Question 3
- Wageni walikuwa wameketi kitako. Andika kielezi katika sentensi hii.Question 4