CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 25
Andika sentensi hii katika hali ya ukubwa. Mtoto wake anasoma.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukubwa
25. Andika sentensi hii katika hali ya ukubwa.
Mtoto wake anasoma.
Answer
Jitoto lake linasoma.
Mtoto → jitoto, wake → lake, anasoma → linasoma.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Je, sentensi hii iko katika wakati gani? Mlinzi mwenyewe analilinda rinda la mama.Question 26
- ___ ya arusi ilikuwa ya kupendeza sana.Question 27
- Siku hiyo ___ arusi alivaa gauni jeupe pe pe pe.Question 28
- Jaza mianya iliyoachwa kwa maneno yafaayo kutoka kwenye mabano (shule, mwiko, vitunguu, sabuni). Mama alipokuwa…Question 29
- Jaza mianya iliyoachwa kwa maneno yafaayo kutoka kwenye mabano (shule, mwiko, vitunguu, sabuni). Idadi ya wanafunzi…Question 30
- Je, kisa hiki kinahusu sherehe ya nani?Question 1