CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 22
Kamilisha methali hii. Asiyekujua ___
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Msamiati, Methali
22. Kamilisha methali hii.
Asiyekujua ______
- Aakuthanini
- Bhakuthamini
- Chakudhamini
Answer
B. hakuthamini
Methali kamili ni "Asiyekujua hakuthamini": asiyekujua hawezi kukuthamini (kukupa thamani).
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi gani haijakanushwa vyema?Question 23
- Nomino "jua, lepe, jasho, joto na giza" hupatikana katika ngeli ya ___Question 24
- Andika sentensi hii katika hali ya ukubwa. Mtoto wake anasoma.Question 25
- Je, sentensi hii iko katika wakati gani? Mlinzi mwenyewe analilinda rinda la mama.Question 26
- ___ ya arusi ilikuwa ya kupendeza sana.Question 27
- Siku hiyo ___ arusi alivaa gauni jeupe pe pe pe.Question 28