CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 18
Andika kwa wingi. Mtoto aliacha dawati lake shuleni.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi, Umoja na Wingi
18. Andika kwa wingi.
Mtoto aliacha dawati lake shuleni.
Answer
Watoto waliacha madawati yao shuleni.
Mtoto → watoto, aliacha → waliacha, dawati lake → madawati yao.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Andika kwa wingi. Mwalimu wangu huja mapema shuleni.Question 19
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi. Matata ___ nyanya samaki.Question 20
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi. Tulienda sokoni ___ tununue matunda.Question 21
- Kamilisha methali hii. Asiyekujua ___Question 22
- Ni sentensi gani haijakanushwa vyema?Question 23
- Nomino "jua, lepe, jasho, joto na giza" hupatikana katika ngeli ya ___Question 24