CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 20
Chagua neno lifaalo kujaza nafasi. Matata ___ nyanya samaki.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi, Viambishi
20. Chagua neno lifaalo kujaza nafasi.
Matata ______ nyanya samaki.
- Aalibeba
- Balimbebea
- Calimbeba
Answer
B. alimbebea
Matata alibeba samaki kwa ajili ya nyanya: alimbebea nyanya samaki.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi. Tulienda sokoni ___ tununue matunda.Question 21
- Kamilisha methali hii. Asiyekujua ___Question 22
- Ni sentensi gani haijakanushwa vyema?Question 23
- Nomino "jua, lepe, jasho, joto na giza" hupatikana katika ngeli ya ___Question 24
- Andika sentensi hii katika hali ya ukubwa. Mtoto wake anasoma.Question 25
- Je, sentensi hii iko katika wakati gani? Mlinzi mwenyewe analilinda rinda la mama.Question 26