CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 16
Je, kati ya maneno haya katika kamusi, ni neno gani litakuwa la pili?
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kamusi
16. Je, kati ya maneno haya katika kamusi, ni neno gani litakuwa la pili?
- AMuhubiri
- BMuhutasari
- CMuhula
- DMtihani
- EMshtakiwa
Answer
D. Mtihani
Kwa mpangilio wa kamusi: Mshtakiwa (ms), Mtihani (mt), kisha Muhubiri, Muhula, Muhutasari. La pili ni Mtihani.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Mstatili huu una maneno matano ya nomino za vitenzi-jina. Je, ni neno lipi halifai kuwa hapa?Question 17
- Andika kwa wingi. Mtoto aliacha dawati lake shuleni.Question 18
- Andika kwa wingi. Mwalimu wangu huja mapema shuleni.Question 19
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi. Matata ___ nyanya samaki.Question 20
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi. Tulienda sokoni ___ tununue matunda.Question 21
- Kamilisha methali hii. Asiyekujua ___Question 22