CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision Paper 2 (2026) (Lugha)
Kiswahili — Revision Paper 2 (2026) (Lugha) · Revision Paper 2 (2026) (Lugha) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Badala ya kusema hamjambo, mwalimu angetumia salamu zipi za asubuhi?Answer: C. Sabalheri
- Question 2: Ni neno gani ambalo linaweza kupatikana katika kadi ya maneno ya heshima na adabu?Answer: D. Samahani
- Question 3: Ni mwanafunzi yupi hakuonyesha heshima na nidhamu katika mazungumzo haya?Answer: A. Jeremi
- Question 4: Mwalimu alimwelekeza Jeremi kuwa.Answer: B. Kila mwana mwema lazima adumishe tabia njema wakati wote
- Question 5: Taja jambo moja ambalo mwalimu Galacha hakulifanya alipoingia darasani.Answer: D. Alifungua madirisha
- Question 6: Kulingana na kifungu hiki, wanafunzi walikuwa wanafanya nini uwanjani?Answer: B. Walikuwa wakicheza soka
- Question 7: Muturi aliposema 'njooni muone' alikuwa ameona nini?Answer: C. Kuku na vifaranga
- Question 8: Mtu anaposema "salalee" huwaAnswer: A. Ameshangaa
- Question 9: Kulingana na kifungu hiki, kuku huyu alikuwa amekaa msituni kwa siku ngapi?Answer: C. Ishirini na moja
- Question 10: Kulingana na aya ya kwanza, ni kweli kusema kwambaAnswer: C. sungura na fisi walikuwa marafiki sana
- Question 11: Sungura alienda kwa fisi na wazo la kushangaza wakati gani kulingana na kifungu hiki?Answer: A. Asubuhi
- Question 12: Sungura alimwambia mama yake ajifiche wapi kulingana na kifungu hiki?Answer: C. Chini ya kitanda
- Question 13: Ni mwanafunzi gani hakununua njugu?Answer: D. Nadia
- Question 14: Ni kwa nini Omari hakununua peremende kwa mujibu wa kifungu hiki?Answer: C. Hakutaka vitu vya sukari
- Question 15: Ni mwanafunzi yupi ambaye hakupanda pikipiki?Answer: A. Tito
- Question 16: Chagua jibu sahihi la nafasi ya 16.Answer: C. ya
- Question 17: Chagua jibu sahihi la nafasi ya 17.Answer: B. kasi
- Question 18: Chagua jibu sahihi la nafasi ya 18.Answer: D. mbele
- Question 19: Chagua jibu sahihi la nafasi ya 19.Answer: C. breki
- Question 20: Chagua jibu sahihi la nafasi ya 20.Answer: A. uliokuwa
- Question 21: Chagua umoja wa sentensi. Wanafunzi wanasoma vitabu.Answer: C. Mwanafunzi anasoma kitabu
- Question 22: Ni ipi kati ya rangi hizi haipatikani katika bendera ya Kenya?Answer: B. samawati
- Question 23: Ni pambo gani ambalo huvaliwa kwenye kidole?Answer: D. Pete
- Question 24: Kinyume cha panda ni shuka, je, kinyume cha refu ni ___.Answer: B. fupi
- Question 25: Kamilisha sentensi. Paka amelala ___ ya meza.Answer: B. kando
- Question 26: Tambua jibu la kitendawili hiki. Ninacho lakini sikioni?Answer: A. kisogo
- Question 27: Kamilisha kwa jibu sahihi. Dirisha ___ limevunjika ni la jirani.Answer: B. ambalo
- Question 28: Tumia neno sahihi. Usiende shuleni ___ mkoba wako.Answer: A. bila
- Question 29: Ni mnyama yupi ambaye hafugwi nyumbani kati ya hawa?Answer: B. swara
- Question 30: Ukitaka kuoga ili udumishe usafi wa mwili utatumia vifaa vifuatavyo ila.Answer: D. reki