CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21
Chagua umoja wa sentensi. Wanafunzi wanasoma vitabu.
From Kiswahili — Revision Paper 2 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
Kutoka swali 21 hadi 30, chagua jibu sahihi.
Chagua umoja wa sentensi.
Wanafunzi wanasoma vitabu.
- AMwanafunzi wanasoma vitabu
- BMwanafunzi anasoma vitabu
- CMwanafunzi anasoma kitabu
- DWanafunzi wanasoma kitabu
Answer
C. Mwanafunzi anasoma kitabu
Katika umoja maneno yote hubadilika: wanafunzi → mwanafunzi, wanasoma → anasoma, vitabu → kitabu.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni ipi kati ya rangi hizi haipatikani katika bendera ya Kenya?Question 22
- Ni pambo gani ambalo huvaliwa kwenye kidole?Question 23
- Kinyume cha panda ni shuka, je, kinyume cha refu ni ___.Question 24
- Kamilisha sentensi. Paka amelala ___ ya meza.Question 25
- Tambua jibu la kitendawili hiki. Ninacho lakini sikioni?Question 26
- Kamilisha kwa jibu sahihi. Dirisha ___ limevunjika ni la jirani.Question 27