CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27
Kamilisha kwa jibu sahihi. Dirisha ___ limevunjika ni la jirani.
From Kiswahili — Revision Paper 2 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Kutoka swali 21 hadi 30, chagua jibu sahihi.
Kamilisha kwa jibu sahihi. Dirisha ________ limevunjika ni la jirani.
- Aambayo
- Bambalo
- Cambacho
- Dambao
Answer
B. ambalo
Dirisha ni la ngeli ya LI-YA, kwa hivyo tunasema "Dirisha ambalo limevunjika".
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Tumia neno sahihi. Usiende shuleni ___ mkoba wako.Question 28
- Ni mnyama yupi ambaye hafugwi nyumbani kati ya hawa?Question 29
- Ukitaka kuoga ili udumishe usafi wa mwili utatumia vifaa vifuatavyo ila.Question 30
- Badala ya kusema hamjambo, mwalimu angetumia salamu zipi za asubuhi?Question 1
- Ni neno gani ambalo linaweza kupatikana katika kadi ya maneno ya heshima na adabu?Question 2
- Ni mwanafunzi yupi hakuonyesha heshima na nidhamu katika mazungumzo haya?Question 3