CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 28
Tumia neno sahihi. Usiende shuleni ___ mkoba wako.
From Kiswahili — Revision Paper 2 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vihusishi
Kutoka swali 21 hadi 30, chagua jibu sahihi.
Tumia neno sahihi. Usiende shuleni ________ mkoba wako.
- Abila
- Bkwa sababu ya
- Clakini
- Dhata
Answer
A. bila
"Bila" maana yake ni kukosa kitu. Usiende shuleni bila mkoba wako.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni mnyama yupi ambaye hafugwi nyumbani kati ya hawa?Question 29
- Ukitaka kuoga ili udumishe usafi wa mwili utatumia vifaa vifuatavyo ila.Question 30
- Badala ya kusema hamjambo, mwalimu angetumia salamu zipi za asubuhi?Question 1
- Ni neno gani ambalo linaweza kupatikana katika kadi ya maneno ya heshima na adabu?Question 2
- Ni mwanafunzi yupi hakuonyesha heshima na nidhamu katika mazungumzo haya?Question 3
- Mwalimu alimwelekeza Jeremi kuwa.Question 4