CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29
Ni mnyama yupi ambaye hafugwi nyumbani kati ya hawa?
From Kiswahili — Revision Paper 2 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Kutoka swali 21 hadi 30, chagua jibu sahihi.
Ni mnyama yupi ambaye hafugwi nyumbani kati ya hawa?
- Apunda
- Bswara
- Ckuku
- Dmbuzi
Answer
B. swara
Swara ni mnyama wa porini. Punda, kuku na mbuzi hufugwa nyumbani.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ukitaka kuoga ili udumishe usafi wa mwili utatumia vifaa vifuatavyo ila.Question 30
- Badala ya kusema hamjambo, mwalimu angetumia salamu zipi za asubuhi?Question 1
- Ni neno gani ambalo linaweza kupatikana katika kadi ya maneno ya heshima na adabu?Question 2
- Ni mwanafunzi yupi hakuonyesha heshima na nidhamu katika mazungumzo haya?Question 3
- Mwalimu alimwelekeza Jeremi kuwa.Question 4
- Taja jambo moja ambalo mwalimu Galacha hakulifanya alipoingia darasani.Question 5