CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 26
Tambua jibu la kitendawili hiki. Ninacho lakini sikioni?
From Kiswahili — Revision Paper 2 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitendawili
Kutoka swali 21 hadi 30, chagua jibu sahihi.
Tambua jibu la kitendawili hiki.
Ninacho lakini sikioni?
- Akisogo
- Bkisigino
- Ckifua
- Dkidevu
Answer
A. kisogo
Kisogo ni sehemu ya nyuma ya kichwa. Unacho lakini huwezi kukiona kwa macho yako.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha kwa jibu sahihi. Dirisha ___ limevunjika ni la jirani.Question 27
- Tumia neno sahihi. Usiende shuleni ___ mkoba wako.Question 28
- Ni mnyama yupi ambaye hafugwi nyumbani kati ya hawa?Question 29
- Ukitaka kuoga ili udumishe usafi wa mwili utatumia vifaa vifuatavyo ila.Question 30
- Badala ya kusema hamjambo, mwalimu angetumia salamu zipi za asubuhi?Question 1
- Ni neno gani ambalo linaweza kupatikana katika kadi ya maneno ya heshima na adabu?Question 2