CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22
Ni ipi kati ya rangi hizi haipatikani katika bendera ya Kenya?
From Kiswahili — Revision Paper 2 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Kutoka swali 21 hadi 30, chagua jibu sahihi.
Ni ipi kati ya rangi hizi haipatikani katika bendera ya Kenya?
- Akijani
- Bsamawati
- Cnyeupe
- Dnyeusi
Answer
B. samawati
Bendera ya Kenya ina rangi nyeusi, nyekundu, kijani na nyeupe. Haina rangi ya samawati.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni pambo gani ambalo huvaliwa kwenye kidole?Question 23
- Kinyume cha panda ni shuka, je, kinyume cha refu ni ___.Question 24
- Kamilisha sentensi. Paka amelala ___ ya meza.Question 25
- Tambua jibu la kitendawili hiki. Ninacho lakini sikioni?Question 26
- Kamilisha kwa jibu sahihi. Dirisha ___ limevunjika ni la jirani.Question 27
- Tumia neno sahihi. Usiende shuleni ___ mkoba wako.Question 28