CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 19
Chagua jibu sahihi la nafasi ya 19.
From Kiswahili — Revision Paper 2 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali kutoka 16 hadi 20. Umepewa majibu manne. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Baiskeli __16__ Baraka iliharibika alipokuwa akiiendesha kwenda sokoni. Alikuwa akiiendesha kwa mwendo wa __17__ bila kujali. Mara ghafla aliona ng'ombe __18__ yake. Alijaribu kushika __19__ lakini hakuweza. Moyo ulimdunda na kuingiwa na wasiwasi. Aliamua kuingia kwenye mtaro __20__ kando ya barabara. Gurudumu la baiskeli lilibondeka. Yeye mwenyewe aliumia goti na bega.
Chagua jibu sahihi la nafasi ya 19.
- Amkia
- Bmoyo
- Cbreki
- Dusukani
Answer
C. breki
Breki ndizo husimamisha baiskeli. Alijaribu kushika breki lakini hakuweza.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi la nafasi ya 20.Question 20
- Chagua umoja wa sentensi. Wanafunzi wanasoma vitabu.Question 21
- Ni ipi kati ya rangi hizi haipatikani katika bendera ya Kenya?Question 22
- Ni pambo gani ambalo huvaliwa kwenye kidole?Question 23
- Kinyume cha panda ni shuka, je, kinyume cha refu ni ___.Question 24
- Kamilisha sentensi. Paka amelala ___ ya meza.Question 25