CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 3) (Test 22)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · Revision 2026 (Booklet 3) · 24 questions
Topics: Kuandika, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 24 questions with answers
- Question 1: ZOEZI LA 1: INSHA (Alama 15) Mwandikie rafiki yako barua ukimwalika kwenye sherehe ya harusi ya dada yako.Answer: S.L.P 120, KITALE. 10 Machi 2026. Kwa rafiki yangu mpendwa Amina, Pokea salamu nyingi kutoka kwangu na…
- Question 2: Ni jambo gani linaloonyesha kuwa Simba na Fisi walikuwa marafiki wakubwa? (Alama 2)Answer: Mmoja alipopatwa na tatizo, aliyehisi uchungu ni rafikiye; walichuma pamoja kuzikidhia familia zao mahitaji.
- Question 3: Kwa nini chakula kilianza kupungua ghalani? (Alama 2)Answer: Fisi alikula (aliiba) chakula kila alipobaki nyumbani.
- Question 4: Hadithi hii imeonyesha kwamba wanyama huweza kujifunza kutoka kwa wenzao. Andika mfano mmoja kutoka kwenye kifungu kuthibitisha kauli hii.…Answer: Wanyama walishauriwa kuiga urafiki wa simba na fisi.
- Question 5: Funzo kuu hasa linalotokana na hadithi hii ni lipi? (Alama 2)Answer: Tuwe marafiki wa kweli; udanganyifu na ubinafsi huharibu urafiki.
- Question 6: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 5.Answer: D. kama
- Question 7: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 6.Answer: A. Ikiwa
- Question 8: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 7.Answer: B. anahitaji
- Question 9: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 8.Answer: C. kinyongo
- Question 10: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 9.Answer: D. wema hauozi
- Question 11: Pigia nomino mstari na uandike ni za aina gani katika sentensi ifuatayo. (alama 2) Mkulima husafiri Jumatano.Answer: Mkulima – nomino ya kawaida; Jumatano – nomino ya pekee.
- Question 12: Andika wingi wa: Tarakilishi imetumiwa kutuma ujumbe (ala1)Answer: Tarakilishi zimetumiwa kutuma jumbe.
- Question 13: Huku ukitolea mifano eleza matumizi matatu ya kikomo. (alama 3)Answer: Kuandika tarehe: 6.2.26; kufupisha maneno: k.v.; mwishoni mwa sentensi: Mama anakula.
- Question 14: Jaza nafasi kwa kutumia viambishi sahihi. (alama 2) Samaki ___livuliwa jana na kupikwa kwa moto ___liokuwa jikoni.Answer: a, u (Samaki alivuliwa jana na kupikwa kwa moto uliokuwa jikoni.)
- Question 15: Andika nomino za ngeli hizi. (alama 4) a) Mvuvi b) Ua c) Darasa d) KipepeoAnswer: a) A-WA; b) LI-YA (au U-ZI); c) LI-YA; d) A-WA.
- Question 16: Andika vinyume vya maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi hii (alama 2) Fatima alipanga nguo zake kwenye sanduku na kulifunika vizuri.Answer: Alipangua; vibaya.
- Question 17: Chagua nomino iliyo tofauti na zingine (ala 1) Unga. Dawati Maembe. WanafunziAnswer: Unga.
- Question 18: Vitenzi vilivyopigiwa mstari ni vya aina gani (ala 2) Mama alikuwa anapika ugali.Answer: Alikuwa – kitenzi kisaidizi; anapika – kitenzi kikuu.
- Question 19: FASIHI 18. a) Fasihi ni nini? (ala 2)Answer: Fasihi ni sanaa inayotumia lugha kwa ubunifu kuwasilisha masuala kuhusu maisha ya binadamu na mazingira…
- Question 20: b) Eleza tofauti nne kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi (alama 4)Answer: Fasihi simulizi huhifadhiwa akilini, hufikishwa kwa mdomo kwa hadhira hai, ni mali ya jamii na ina vipera…
- Question 21: a) Huu ni wimbo wa aina gani? Eleza (Alama 2)Answer: Bembezi: ni wimbo wa kumbembeleza mtoto alale.
- Question 22: b) Taja wahusika kwenye wimbo huu (Alama 2)Answer: Mtoto (Lulu / Wiwi) na mlezi wa mtoto (mama).
- Question 23: c) Eleza sifa tatu za wimbo huu (Alama 3)Answer: Huimbwa taratibu kwa sauti ya chini, ni mfupi, na una marudio ya maneno.
- Question 24: d) Taja aina zingine mbili za nyimbo (Alama 2)Answer: Nyimbo za kazi na nyimbo za harusi.