CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22
b) Taja wahusika kwenye wimbo huu (Alama 2)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 2 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
FASIHI
19. Wimbo
Lulu, mwanangu tulia,
Wiwi mtoto lala, mvua imekuja
Si uongo hata na miti huichangamkia mvua,
Hakuna haja ya kuelezwa,
Lulu mwana tulia,
Wiwi mtoto lala, mvua imekuja.
Jibu maswali yafuatayo kwa kurejelea wimbo uliosoma.
b) Taja wahusika kwenye wimbo huu (Alama 2)
Answer
Mtoto (Lulu / Wiwi) na mlezi wa mtoto (mama).
Ni nani anayeimba na ni nani anayeimbiwa?
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- c) Eleza sifa tatu za wimbo huu (Alama 3)Question 23
- d) Taja aina zingine mbili za nyimbo (Alama 2)Question 24
- ZOEZI LA 1: INSHA (Alama 15) Mwandikie rafiki yako barua ukimwalika kwenye sherehe ya harusi ya dada yako.Question 1
- Ni jambo gani linaloonyesha kuwa Simba na Fisi walikuwa marafiki wakubwa? (Alama 2)Question 2
- Kwa nini chakula kilianza kupungua ghalani? (Alama 2)Question 3
- Hadithi hii imeonyesha kwamba wanyama huweza kujifunza kutoka kwa wenzao. Andika mfano mmoja kutoka kwenye kifungu…Question 4