CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21
a) Huu ni wimbo wa aina gani? Eleza (Alama 2)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 2 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
FASIHI
19. Wimbo
Lulu, mwanangu tulia,
Wiwi mtoto lala, mvua imekuja
Si uongo hata na miti huichangamkia mvua,
Hakuna haja ya kuelezwa,
Lulu mwana tulia,
Wiwi mtoto lala, mvua imekuja.
Jibu maswali yafuatayo kwa kurejelea wimbo uliosoma.
a) Huu ni wimbo wa aina gani? Eleza (Alama 2)
Answer
Bembezi: ni wimbo wa kumbembeleza mtoto alale.
Mlezi anamwambia mtoto atulie alale.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- b) Taja wahusika kwenye wimbo huu (Alama 2)Question 22
- c) Eleza sifa tatu za wimbo huu (Alama 3)Question 23
- d) Taja aina zingine mbili za nyimbo (Alama 2)Question 24
- ZOEZI LA 1: INSHA (Alama 15) Mwandikie rafiki yako barua ukimwalika kwenye sherehe ya harusi ya dada yako.Question 1
- Ni jambo gani linaloonyesha kuwa Simba na Fisi walikuwa marafiki wakubwa? (Alama 2)Question 2
- Kwa nini chakula kilianza kupungua ghalani? (Alama 2)Question 3