CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 20
b) Eleza tofauti nne kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi (alama 4)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 4 marks · Topic: Kusoma, Fasihi
b) Eleza tofauti nne kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi (alama 4)
Answer
Fasihi simulizi huhifadhiwa akilini, hufikishwa kwa mdomo kwa hadhira hai, ni mali ya jamii na ina vipera vingi; fasihi andishi huhifadhiwa kwa maandishi, husomwa, ni mali ya mtu binafsi na ina vipera vichache.
Linganisha jinsi zinavyohifadhiwa, kuwasilishwa na kumilikiwa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- a) Huu ni wimbo wa aina gani? Eleza (Alama 2)Question 21
- b) Taja wahusika kwenye wimbo huu (Alama 2)Question 22
- c) Eleza sifa tatu za wimbo huu (Alama 3)Question 23
- d) Taja aina zingine mbili za nyimbo (Alama 2)Question 24
- ZOEZI LA 1: INSHA (Alama 15) Mwandikie rafiki yako barua ukimwalika kwenye sherehe ya harusi ya dada yako.Question 1
- Ni jambo gani linaloonyesha kuwa Simba na Fisi walikuwa marafiki wakubwa? (Alama 2)Question 2