CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 11
Pigia nomino mstari na uandike ni za aina gani katika sentensi ifuatayo. (alama 2) Mkulima husafiri Jumatano.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
10. Pigia nomino mstari na uandike ni za aina gani katika sentensi ifuatayo. (alama 2)
Mkulima husafiri Jumatano.
Answer
Mkulima – nomino ya kawaida; Jumatano – nomino ya pekee.
Nomino mbili ziko katika sentensi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Andika wingi wa: Tarakilishi imetumiwa kutuma ujumbe (ala1)Question 12
- Huku ukitolea mifano eleza matumizi matatu ya kikomo. (alama 3)Question 13
- Jaza nafasi kwa kutumia viambishi sahihi. (alama 2) Samaki ___livuliwa jana na kupikwa kwa moto ___liokuwa jikoni.Question 14
- Andika nomino za ngeli hizi. (alama 4) a) Mvuvi b) Ua c) Darasa d) KipepeoQuestion 15
- Andika vinyume vya maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi hii (alama 2) Fatima alipanga nguo zake kwenye sanduku…Question 16
- Chagua nomino iliyo tofauti na zingine (ala 1) Unga. Dawati Maembe. WanafunziQuestion 17