CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 15
Andika nomino za ngeli hizi. (alama 4) a) Mvuvi b) Ua c) Darasa d) Kipepeo
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 4 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
14. Andika nomino za ngeli hizi. (alama 4)
a) Mvuvi
b) Ua
c) Darasa
d) Kipepeo
Answer
a) A-WA; b) LI-YA (au U-ZI); c) LI-YA; d) A-WA.
Kiumbe hai ni ngeli ya A-WA hata kikianza na ki-.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Andika vinyume vya maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi hii (alama 2) Fatima alipanga nguo zake kwenye sanduku…Question 16
- Chagua nomino iliyo tofauti na zingine (ala 1) Unga. Dawati Maembe. WanafunziQuestion 17
- Vitenzi vilivyopigiwa mstari ni vya aina gani (ala 2) Mama alikuwa anapika ugali.Question 18
- FASIHI 18. a) Fasihi ni nini? (ala 2)Question 19
- b) Eleza tofauti nne kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi (alama 4)Question 20
- a) Huu ni wimbo wa aina gani? Eleza (Alama 2)Question 21