CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 16
Andika vinyume vya maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi hii (alama 2) Fatima alipanga nguo zake kwenye sanduku na kulifunika vizuri.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
15. Andika vinyume vya maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi hii (alama 2)
Fatima alipanga nguo zake kwenye sanduku na kulifunika vizuri.
Answer
Alipangua; vibaya.
Maneno yaliyopigiwa mstari ni alipanga na vizuri.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua nomino iliyo tofauti na zingine (ala 1) Unga. Dawati Maembe. WanafunziQuestion 17
- Vitenzi vilivyopigiwa mstari ni vya aina gani (ala 2) Mama alikuwa anapika ugali.Question 18
- FASIHI 18. a) Fasihi ni nini? (ala 2)Question 19
- b) Eleza tofauti nne kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi (alama 4)Question 20
- a) Huu ni wimbo wa aina gani? Eleza (Alama 2)Question 21
- b) Taja wahusika kwenye wimbo huu (Alama 2)Question 22