CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 14
Jaza nafasi kwa kutumia viambishi sahihi. (alama 2) Samaki ___livuliwa jana na kupikwa kwa moto ___liokuwa jikoni.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
13. Jaza nafasi kwa kutumia viambishi sahihi. (alama 2)
Samaki ______livuliwa jana na kupikwa kwa moto ______liokuwa jikoni.
Answer
a, u (Samaki alivuliwa jana na kupikwa kwa moto uliokuwa jikoni.)
Samaki ni ngeli ya A-WA; moto ni ngeli ya U-I.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Andika nomino za ngeli hizi. (alama 4) a) Mvuvi b) Ua c) Darasa d) KipepeoQuestion 15
- Andika vinyume vya maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi hii (alama 2) Fatima alipanga nguo zake kwenye sanduku…Question 16
- Chagua nomino iliyo tofauti na zingine (ala 1) Unga. Dawati Maembe. WanafunziQuestion 17
- Vitenzi vilivyopigiwa mstari ni vya aina gani (ala 2) Mama alikuwa anapika ugali.Question 18
- FASIHI 18. a) Fasihi ni nini? (ala 2)Question 19
- b) Eleza tofauti nne kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi (alama 4)Question 20