CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 12
Andika wingi wa: Tarakilishi imetumiwa kutuma ujumbe (ala1)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
11. Andika wingi wa: Tarakilishi imetumiwa kutuma ujumbe (ala1)
Answer
Tarakilishi zimetumiwa kutuma jumbe.
Tarakilishi ni ngeli ya I-ZI; ujumbe – jumbe.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Huku ukitolea mifano eleza matumizi matatu ya kikomo. (alama 3)Question 13
- Jaza nafasi kwa kutumia viambishi sahihi. (alama 2) Samaki ___livuliwa jana na kupikwa kwa moto ___liokuwa jikoni.Question 14
- Andika nomino za ngeli hizi. (alama 4) a) Mvuvi b) Ua c) Darasa d) KipepeoQuestion 15
- Andika vinyume vya maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi hii (alama 2) Fatima alipanga nguo zake kwenye sanduku…Question 16
- Chagua nomino iliyo tofauti na zingine (ala 1) Unga. Dawati Maembe. WanafunziQuestion 17
- Vitenzi vilivyopigiwa mstari ni vya aina gani (ala 2) Mama alikuwa anapika ugali.Question 18