naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 9.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

SARUFI
Vijana wa siku hizi wanapaswa kuwa karimu na kusaidiana __5__ ilivyokuwa enzi za mababu zetu. __6__ mmoja wao __7__ usaidizi wa jambo fulani, wanapaswa wamsaidie bila __8__. Kwa kutenda hivyo, watakuwa wanajiwekea akiba maishani mwao kwa kuwa __9__.

9. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 9.

  1. Asubira huvuta heri.
  2. Bbaada ya dhiki ni faraja
  3. Cupweke ni uvundo.
  4. Dwema hauozi

Answer

D. wema hauozi

Wema hauozi: wema waliotenda utawasaidia baadaye.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test