CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 8.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
SARUFI
Vijana wa siku hizi wanapaswa kuwa karimu na kusaidiana __5__ ilivyokuwa enzi za mababu zetu. __6__ mmoja wao __7__ usaidizi wa jambo fulani, wanapaswa wamsaidie bila __8__. Kwa kutenda hivyo, watakuwa wanajiwekea akiba maishani mwao kwa kuwa __9__.
8. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 8.
- Ajitimai
- Bkisasi
- Ckinyongo
- Dkupinga
Answer
C. kinyongo
Kusaidia bila kinyongo ni kusaidia kwa moyo mkunjufu.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 9.Question 10
- Pigia nomino mstari na uandike ni za aina gani katika sentensi ifuatayo. (alama 2) Mkulima husafiri Jumatano.Question 11
- Andika wingi wa: Tarakilishi imetumiwa kutuma ujumbe (ala1)Question 12
- Huku ukitolea mifano eleza matumizi matatu ya kikomo. (alama 3)Question 13
- Jaza nafasi kwa kutumia viambishi sahihi. (alama 2) Samaki ___livuliwa jana na kupikwa kwa moto ___liokuwa jikoni.Question 14
- Andika nomino za ngeli hizi. (alama 4) a) Mvuvi b) Ua c) Darasa d) KipepeoQuestion 15