CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 6.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
SARUFI
Vijana wa siku hizi wanapaswa kuwa karimu na kusaidiana __5__ ilivyokuwa enzi za mababu zetu. __6__ mmoja wao __7__ usaidizi wa jambo fulani, wanapaswa wamsaidie bila __8__. Kwa kutenda hivyo, watakuwa wanajiwekea akiba maishani mwao kwa kuwa __9__.
6. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 6.
- AIkiwa
- BIngawa
- CIjapokuwa
- DIkawa
Answer
A. Ikiwa
"Ikiwa mmoja wao anahitaji …" — sharti.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 7.Question 8
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 8.Question 9
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 9.Question 10
- Pigia nomino mstari na uandike ni za aina gani katika sentensi ifuatayo. (alama 2) Mkulima husafiri Jumatano.Question 11
- Andika wingi wa: Tarakilishi imetumiwa kutuma ujumbe (ala1)Question 12
- Huku ukitolea mifano eleza matumizi matatu ya kikomo. (alama 3)Question 13