naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 5.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

SARUFI
Vijana wa siku hizi wanapaswa kuwa karimu na kusaidiana __5__ ilivyokuwa enzi za mababu zetu. __6__ mmoja wao __7__ usaidizi wa jambo fulani, wanapaswa wamsaidie bila __8__. Kwa kutenda hivyo, watakuwa wanajiwekea akiba maishani mwao kwa kuwa __9__.

5. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 5.

  1. Ahata
  2. Baangaa
  3. Ciilmradi
  4. Dkama

Answer

D. kama

"Kama ilivyokuwa enzi za mababu zetu."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test