CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025: Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8)
Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi, Msamiati.
All 30 questions with answers
- Question 1: Mazungumzo haya yalikuwa kati ya nani na nani?Answer: B. Mwalimu na wanafunzi wake.
- Question 2: Ni nini umuhimu wa kamusi kulingana na mwalimu?Answer: A. Kutusaidia kuelewa maana sahihi ya maneno.
- Question 3: Kwa nini mwalimu anaona kamusi ni bora kuliko kutumia intaneti?Answer: B. Kwa sababu kamusi inaweza kufanya kazi bila intaneti.
- Question 4: Ni maamkuzi gani yalitumika kwenye mazungumzo haya?Answer: C. Shikamoo
- Question 5: Kulingana na mwalimu, kamusi inaweza kutegemewa kwa muda wa kiasi gani?Answer: A. Daima
- Question 6: Ni nini kilichosababisha moto kijijini?Answer: C. Sababu haijulikani.
- Question 7: Nani aliyeathirika zaidi na moto huo?Answer: B. Bi. Tamima
- Question 8: Ni nini kilichofuata baada ya kutokea kwa moto?Answer: C. Wanakijiji walisaidiana kujenga upya nyumba.
- Question 9: Wasamaria wema walichangia nini kusaidia Bi. Tamima?Answer: D. Vifaa vya ujenzi na rasilimali nyingine.
- Question 10: Kwa nini Juma alisimamisha gari lake kando ya barabara?Answer: C. Kusaidia watu waliojeruhiwa.
- Question 11: Nini kilichosababisha ajali kwenye hadithi?Answer: A. Gari kupinduka.
- Question 12: Juma alitumia vifaa gani kutoa huduma ya kwanza kwa majeruhi?Answer: B. Viatu vya kukinga miguu.
- Question 13: Katika tamaduni nyingi, kusuka nywele ni mbinu ya urembo. Ni kwa nini watu wanachagua kusuka nywele?Answer: D. Kubadilisha mwonekano wa nywele.
- Question 14: Kwa nini watu wanatumia vipodozi?Answer: C. Kuongeza rangi na kuvutia.
- Question 15: Ni faida gani ya kutumia vifaa vya mapambo kama herini?Answer: C. Kuongeza urembo wa uso.
- Question 16: Chagua jibu sahihi la pengo 16.Answer: A. wa
- Question 17: Chagua jibu sahihi la pengo 17.Answer: B. wanafunzi
- Question 18: Chagua jibu sahihi la pengo 18.Answer: B. Wa
- Question 19: Chagua jibu sahihi la pengo 19.Answer: C. ,
- Question 20: Chagua jibu sahihi la pengo 20.Answer: A. na
- Question 21: Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo. Andika sentensi hii kwa wingi: Mwalimu wetu alitusihi tushirikiane katika masomo.Answer: B. Walimu wetu walitusihi tushirikiane katika masomo.
- Question 22: Unapomuaga mtu ukitarajia kuonana naye siku inayofuata utatumia agano lipi?Answer: C. Tuonane kesho
- Question 23: Ni kifaa kipi hakipatikani sebuleni?Answer: A. Godoro
- Question 24: Chagua kitenzi kwenye sentensi ifuatayo: Ninalipenda taifa letu la Kenya.Answer: C. Penda
- Question 25: Andika sentensi hii upya katika kauli ya kutendewa: Mama alipika chakula.Answer: C. Tulipikiwa chakula na mama.
- Question 26: Onyesha kiambishi cha wakati kwenye sentensi hii: Nitanawa mikono kabla ya kula chakula.Answer: B. Ta
- Question 27: Mkusanyiko wa mishororo kwenye shairi huitwaAnswer: D. ubeti
- Question 28: Kamilisha methali ifuatayo: Mwenda tezi na omo, ___Answer: C. marejeo ni ngamani
- Question 29: Nomino ya picha hii iko katika ngeli gani?Answer: C. U-I
- Question 30: Tegua kitendawili: Pitia huku nami nipitie huko tupatane pale.Answer: B. Mshipi