CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 26
Onyesha kiambishi cha wakati kwenye sentensi hii: Nitanawa mikono kabla ya kula chakula.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi, Viambishi
26. Onyesha kiambishi cha wakati kwenye sentensi hii: Nitanawa mikono kabla ya kula chakula.
- ANi
- BTa
- CMi
- DYa
Answer
B. Ta
-ta- huonyesha wakati ujao.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Mkusanyiko wa mishororo kwenye shairi huitwaQuestion 27
- Kamilisha methali ifuatayo: Mwenda tezi na omo, ___Question 28
- Nomino ya picha hii iko katika ngeli gani?Question 29
- Tegua kitendawili: Pitia huku nami nipitie huko tupatane pale.Question 30
- Mazungumzo haya yalikuwa kati ya nani na nani?Question 1
- Ni nini umuhimu wa kamusi kulingana na mwalimu?Question 2