naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 27

Mkusanyiko wa mishororo kwenye shairi huitwa

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ushairi

27. Mkusanyiko wa mishororo kwenye shairi huitwa

  1. Aaya
  2. Bkibwagizo
  3. Cmizani
  4. Dubeti

Answer

D. ubeti

Mishororo kadhaa pamoja huunda ubeti.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test